• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China wafuatilia masuala yanayohusu maisha ya wananchi

    (GMT+08:00) 2015-03-04 09:56:07

    Mkutano wa tatu wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China ulifunguliwa rasmi jana alasiri hapa Beijing. Wajumbe 2153 wanaohudhuria mkutano huo watajadili na kutoa mapendekezo kuhusu sekta mbalimbali zikiwemo uchumi, sayansi na teknolojia, maisha ya wananchi, michezo na mambo ya kijeshi.

    Naibu mwenyekiti wa baraza hilo Bw. Qi Xuchun jana alasiri alitoa ripoti kuhusu kazi za kushughulikia mapendekezo yaliyotolewa tangu mkutano wa awamu iliyopita. Alisema ujumla asilimia 20.6 ya mapendekezo hayo yameshafanyiwa kazi au kutekelezwa, asilimia 63.8 kati ya hayo yanafanywa kazi, na asilimia 15.6 yatachukuliwa kama mapendekezo ya kazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako