• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya

  • • Rais wa China kuhudhuria mkutano wa Baraza la Boao
    More>>
    Habari
    • Viongozi wa vyombo vya habari vya nchi 17 wasaini Pendekezo la Njia ya Hariri 2015-03-27
    • Mkutano wa mwaka wa Baraza la Boao la Asia la mwaka 2015 wafunguliwa 2015-03-26
    • Rais wa China kuhudhuria mkutano wa Baraza la Boao 2015-03-18
    More>>
    Maelezo
    • Mkutano wa Baraza la Asia la Boao wa mwaka 2015

    Katika dunia ya leo, ushirikiano wa kikanda umekuwa ni jambo la kawaida, lakini mchakato wa ushirikiano unakumbana na tofauti za utamaduni na viwango tofauti vya maendeleo kati ya nchi. Wakati huo huo, katika zama hii ya mafungamano ya vyombo vya habari, uwazi na kupashana habari vinakuwa ni mambo muhimu kati ya vyombo vya habari. Kutokana na hali hii, vyombo vya habari vya nchi mbalimbali duniani vinakabiliwa na jukumu la pamoja la kuhimiza mageuzi ya vyombo vya habari ili kuwe na ushirikiano wa kunufaisha kupitia uwazi, ushirikishaji na kuungana.

    Ukiwa ni moja ya mkutano wa Baraza la Asia la Boao wa mwaka 2015, Mkutano wa viongozi wa vyombo vya habari unawakaribisha viongozi 20 wa vyombo vya habari kutoka nchi mbalimbali duniani kukutana huko Boao, kujadili ushirikiano wa vyombo vya habari na kuunda mustakbali mpya wa ushirikiano.

    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako