• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Beijing yatoa rasimu ya agizo kuhusu majina ya miji na mitaa hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2015-03-26 14:50:51

    Katika siku za karibuni serikali ya mji wa Beijing ilitoa rasimu ya agizo kuhusu majina ya miji na mitaa hapa Beijing. Rasimu hiyo inataka kupiga marufuku majina ya viongozi, majina ya kigeni au maneno machafu kuwa majina ya mitaa, lakini vilevile inahimiza majina ya kale yalindwe na kuhifadhiwa, na majina ya sehemu mpya yasitukuzwe sana. Hatua hiyo imezua mjadala, na kawaida kwenye mijadala kuna wanaounga mkono na wanaopinga. Vilevile wasikilizaji wetu wanatoa maoni yao kuhusu hatua hiyo. Kwa undani zaidi sikiliza kipindi chetu.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako