• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kusitisha ujenzi wa makazi ya Wayahudi

    (GMT+08:00) 2015-03-27 19:46:46

    Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya Mashariki ya Kati Bw. Robert Serry amesema Palestina na Israel zinaweza kujenga uaminifu kati yao ikiwa tu Israel itasitisha mpango wa ujenzi wa makazi ya Wayahudi kando ya magharibi ya Mto Jordan.

    Takwimu zinaonyesha kuwa, kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka jana, idadi ya watu waliohamia kwenye makazi hayo iliongezeka kwa laki 5.5, na nyumba mpya elfu 16.5 zilijengwa.

    Serry amesema ujenzi wa makazi hayo unakinzana na suluhisho linalotambua Nchi Mbili, na unaweza kuondoa uwezekano wa kutimiza amani kati ya pande hizo mbili chini ya suluhisho hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako