• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya

  • China yaanzisha baraza la washauri la "Ukanda Mmoja Njia Moja"
    More>>
    Habari
    v Uwekezaji wa kwanza wa Mfuko wa Njia ya Hariri wafanya maneno ya China kuwa vitendo
    v Mwenyekiti wa baraza la Umoja wa Mataifa asema "Ukanda mmoja na Njia moja" ni mfano wa kuigwa wa maendeleo ya kunufaishana
    v Nchi za nje zaweza kushiriki kwenye ujenzi wa "ukanda wa kiuchumi wa njia ya hariri na njia ya hariri ya baharini ya karne ya 21"
    v Ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" waanza kupamba moto nchini China
    v Kituo cha uratibu wa forodhani cha ukanda wa njia ya hariri chaanzishwa
    More>>
    Maelezo
    Dunia kunufaika na Ukanda mmoja na Njia moja

    Kutokana na takwimu zilizotolewa karibuni na wizara ya biashara ya China, thamani ya biashara kati ya China na nchi zilizoko kwenye ukanda wa kiuchumi wa Njia ya Hariri na Njia ya Hariri ya baharini ya karne ya 21, imefikia dola za kimarekani bilioni 236 katika robo ya kwanza ya mwaka huu, ambapo imechukua asilmia 26 ya thamani ya biashara kati ya China na nje. Wakati huo huo, wizara ya biashara ya China pia imesema, hivi sasa kuna zaidi ya 70 ya maeneo ya ushirikiano yanayojengwa kwenye nchi zilizoko kwenye Ukanda mmoja na Njia moja chini ya ushirikiano kati yao na China, na uwekezaji kwa miundo mbinu ya maeneo hayo utazidi dola za kimarekani bilioni 8, na kampuni zitakazoingia kwenye maeneo hayo zitawekeza dola za kimarekani bilioni 10 hivi. Na inakadiriwa kuwa thamani ya uzalishaji ya maeneo hayo itazidi dola za kimarekani bilioni 20, na maeneo hayo yatatoa nafasi za ajira laki 2.
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako