• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa mambo ya nje wa China na Rwanda wakutana

    (GMT+08:00) 2015-05-01 10:12:25

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana hapa Beijing alikutana na waziri wa ushirikiano na mambo ya nje wa Rwanda Bibi Louise Mushikiwabo ambaye yuko ziarani nchini China. Bw. Wang Yi amesema, China ni mwenzi anayefaa zaidi kwa Afrika kuhimiza maendeleo ya viwanda, na inapenda kuisaidia Afrika kuongeza uwezo wake wa kujitegemea na maendeleo endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako