• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania Takwimu zote za watafiti sasa kuratibiwa na NBS

    (GMT+08:00) 2015-05-01 20:34:21

    Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa amefafanua kuwa Sheria ya Takwimu haitayazuia mashirika wala watu binafsi kufanya tafiti na kukusanya takwimu, isipokuwa watatakiwa kuhakikisha takwimu zao zinaratibiwa na ofisi yake kabla ya kuzitoa.

    Dk Chuwa alikuwa akijibu swali kutoka kwa waandishi wa habari jana kuhusu utata wa muswada huo, wakati wa ufunguzi wa kongamano la wakuu wa ofisi za takwimu kutoka nchi zinazozungumza lugha ya Kiingereza Barani Afrika.

    Wanachotakiwa ni kuhakikisha kwamba NBS inaratibu takwimu zao ili zisipotoshe kwa sababu mara nyingi hutumiwa na watu wengi."

    Pinda aliitaka NBS kutumia lugha nyepesi inayoeleweka na mwananchi wa kawaida inapotoa taarifa zake kwani lengo la takwimu ni kumnufaisha kila mtu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako