• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iraq yauza mafuta zaidi nje ya nchi mwezi Aprili kuliko kiwango cha miongo kadhaa iliyopita

    (GMT+08:00) 2015-05-02 20:09:24

    Iraq imeuza mafuta zaidi nje ya nchi katika mwezi uliopita kuliko kiwango cha miongo kadhaa iliyopita.

    Wizara ya mafuta ya Iraq imesema nchi hiyo iliuza zaidi ya mapipa milioni 3 ya mafuta kwa siku katika mwezi Aprili, kiwango ambacho ni cha juu zaidi tangu miaka ya 80 ya karne iliyopita.

    Pato la Iraq linategemea uuazaji wa mafuta kwa zaidi ya asilimia 90.

    Mwaka jana nchi hiyo iliuza zaidi ya mapipa milioni 900 nje ya nchi na kupata dola bilioni 84.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako