• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Huduma ya mtandao wa internet

    (GMT+08:00) 2015-05-07 14:30:02

    China ni nchi iliyopiga hatua kubwa kwenye maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano. Kutokana na China kuwa na idadi kubwa ya watu na kuenea kwa mtandao wa internet, kwa sasa ni nchi inayoongoza kuwa na idadi kubwa ya watumiaji wa mtandao wa internet, na idadi hiyo inaongezeka kila siku. Lakini maendeleo ya huduma ya Internet kwa kiasi fulani hayana uwiano mzuri. Kuna baadhi ya maeneo ya China, hasa ya mijini, huduma ya internet imefika kila kona, na kuna baadhi ya maeneo bado huduma ya internet haijawafikia watu wote kwa njia sawa na watu wa mijini au maeneo yenye maendeleo makubwa kiuchumi. Kwa undani zaidi hebu kusikiliza kipindi chetu

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako