• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Kenya yaanza mazungumzo na kampuni ya China kuhusu upanuzi wa reli inayounganisha Nairobi na Mombasa

    (GMT+08:00) 2015-05-28 11:20:02
    Serikali ya Kenya imeanza mazungumzo na kampuni ya China inayojenga reli ya Nairobi-Mombasa kuhusu upanuzi wa reli hiyo hadi mji wa Naivasha. Jumanne wiki hii rais Uhuru Kenyatta alikagua ujenzi wa reli hiyo na kueleza matumaini yake ya kurefusha reli hiyo kwa kilomita 120 hadi eneo maalum la viwanda litakaloanzishwa Naivasha. Reli hiyo ambayo ni mradi mkubwa zaidi ya miundo mbinu nchini Kenya tangu mwaka 1964, itaunganisha Nairobi na Mombasa na baadaye kurefushwa hadi Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako