• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafanya juhudi kupambana na matumizi ya tumbaku

    (GMT+08:00) 2015-05-28 17:04:36

    Tarehe 31 Mei itakuwa ni siku ya kupiga marufuku matumizi ya tumbaku duniani. China ambayo ni nchi inayoongoza kwa matumizi ya tumbaku duniani inaungana na nchi nyingine kuadhimisha siku hiyo. Hapa China tunaona wazi kabisa kuwa serikali iko makini sana kufuata maelekezo ya shirika la afya la kimataifa WHO kuhusu kupiga marufuku matangazo ya tumbaku. Toka nimefika hapa China hadi leo sijawahi kusikia radioni, au kuona kwenye TV na hata kwenye gazeti tangazo la biashara linalohusiana na tumbaku, hata ukitembelea barabarani huwezi kuona mabango yenye matangazo yanayohamasisha watu kutumia tumbaku. Katika kipindi hiki tunaangalia hali ya jumla ya juhudi za jamii ya China katika kupambana na matumizi ya tumbaku. Karibuni kusikiliza.


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako