• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yateketeza kilo 662 za pembe haramu za Ndovu

    (GMT+08:00) 2015-05-29 15:43:02

    Serikali ya China leo imeteketeza kilo 662 za pembe za Ndovu zilizokamatwa, ikiwa ni hatua ya pili inayoashiria kueleza kwa vitendo msimamo wake dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori.

    Pembe hizo haramu, zimeteketezwa katika hafla iliyoandaliwa na Idara ya taifa ya usimamizi wa misitu na idara ya taifa ya forodha na kufanyika hapa Beijing.

    Januari mwaka jana, serikali ya China iliteketeza tani 6.1 za pembe haramu zilizokamatwa katika mji wa kusini mashariki wa Dongguan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako