• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya GT imeandikisha faida ya Rwf260.4m baada ya kodi katika robo ya kwanza ya mwaka

    (GMT+08:00) 2015-05-29 20:35:30

    Benki ya GT Bank nchini rwanda, imerekodi faida franc milioni 260.4 baada ya kodi katika robo ya kwanza ya mwaka kutoka franc milioni Rwf208.8 katika kipindi kama hicho mwaka jana.

    Taarifa hii inatoka kwa Taasisi ya katika taarifa za kifedha.

    Faida ya benki hiyo iliongezeka kutoka franc bilioni Rwf1.25 mwishoni mwa mwezi Machi mwaka jana hadi franc bilioni Rwf1.34 mwaka huu.

    Mapato yake kutokana na shughuli zengine za kibenki, ilishuka kidogo hadi franc bilioni Rwf1.874 kutoka franc bilioni Rwf1.876 mwaka jana.

    Gharama za uendeshaji shughuli ilipanda hadi farnc bilioni Rwf1.64 mwaka huu, kutoka farnc bilioni Rwf1.58 mwaka jana, hii inachangiwa na gharama ya chini za uendeshaji shughuli kwa kampuni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako