• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Usalama wa kuendesha magari barabarani

    (GMT+08:00) 2015-06-12 10:26:19

    China inasifika kwa kuwa na idadi kubwa ya watu, lakini idadi kubwa ya watu pia ina maana kuwa kama watu wana uwezo wa kiuchumi basi idadi ya magari itakuwa kubwa. Hadi kufikia mwishoni mwa mwaka jana, idadi ya magari yaliyosajiliwa nchini China ilikuwa milioni 154, na idadi ya wachina wenye leseni za kuendesha magari imefikia zaidi ya milioni 246. Kwa wastani kila familia 100 zina magari 25, na katika miji mikubwa idadi hiyo ni kubwa zaidi. Kwa Beijing wastani ni familia 63 kati ya 100, Guangzhou na Chengdu ni zaidi ya 40. Na idadi ya wamiliki wa magari inaendelea kuongezeka kila mara, kwa hiyo hali ya msongamano wa magari barabarani inaongezeka siku hadi siku. Leo katika kipindi chetu tunazungumzia changamoto ya uendeshaji magari kwenye miji mikubwa ya China. Kwa uundani zaidi hebu sikilize kipindi chetu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako