• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatangaza mpango wa maadhimisho ya miaka 70 ya ushindi wa Vita dhidi ya Japan

    (GMT+08:00) 2015-07-06 18:37:20

    Ofisi ya habari ya baraza la serikali la China imesema, "Vita ya Chama cha kikominusti cha China dhidi ya Japan" ni moja ya shughuli muhimu itakayofanyika katika kuadhimisha miaka 70 ya ushindi wa vita dhidi ya Japan na vita dhidi ya Ufashisti duniani.

    Kuanzia kesho, maonyesho ya kuadhimisha miaka 70 ya ushindi wa vita dhidi ya Japan na vita dhidi ya Ufashisti duniani yatafanyika katika jumba la makumbusho la vita dhidi ya Japan. Naibu mkuu wa jumba hilo Bw. Li Zongyuan amesema, maonesho hayo yataonyesha zaidi nafasi muhimu ya chama cha kikomunisti cha China katika vita hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako