• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China amesema makubaliano ya pande zote kuhusu suala la nyuklia la Iran yakaribia kufikiwa

    (GMT+08:00) 2015-07-06 20:04:10

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amewasili Vienna leo asubuhi kwa saa za huko ili kuhudhuria mazungumzo ya mwisho ya makubaliano kuhusu suala la nyuklia la Iran.

    Bw. Wang Yi amesema makubaliano ya pande zote kuhusu suala hilo yanakaribia kufikiwa, na China inapenda kutoa mchango wake ili kufanikisha makubaliano hayo.

    Bw. Wang Yi amesema, siku kadhaa zilizopita, mazungumzo hayo yamepata maendeleo mapya, ingawa bado kuna masuala kadhaa yanatarajiwa kujadiliwa, na kwamba kuna uwezekano wa kupata mpango unaokubaliwa na pande mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako