• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa Uganda kukua kwa asilimia 5.8 mwaka wa 2015/ 2016.

    (GMT+08:00) 2015-07-06 20:26:10

    Uchumi wa taifa la Uganda unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.8 katika kipindi cha mwaka Mmoja ujao.

    Kulingana na ripoti ambayo imetolewa mwishoni mwa wiki jana wiki kadhaa baada ya kusomwa kwa bajeti ya nchi hiyo.

    Wakati huo huo safari ya taifa hilo inatarajiwa kujikita dhidi ya Dola ya Marekani na pia mfumko wa bei za bidhaa kuthibitiwa.

    Uganda kama mataifa yale mengine ya Afrika Mashariki yamekuwa yakiadhirika kutokana na visa vya ugaidi katika kanda jambo ambalo limeathiri pakubwa sekata muhimu za kiuchumi kama vile utalii na biashara ya kimataifa.

    Hata hivyo kulingana na ripoti hiyo ni kwamba wachanganuzi wa kiuchumi wanasema Uchumi wa taifa hilo humo katika njia nzuri hususan baada ya kupata mafuta kwa wingi katika eneo la Albert.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako