• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ushirkiano wa kutegemeana wakuza biashara ya vijana wa Afrika walioko China

    (GMT+08:00) 2015-07-15 20:48:16


    China na Africa zimekuwa zikishirikiana katika nyanja mbalimbali, na ushirikiano wa kutegemeana katika biashara unatoa fursa zaidi kwa vijana wa Africa walioko hapa nchini China. Niko hapa mjini Shanghai ambapo nimekutana na vijana wawili wa kutoka Africa mashariki. Vijana hawa walikuja kujiendeleza na masomo ya juu, na baada ya kuhitimu wakapata fursa ya kujishughulisha na biashara. lakini haikuwa rahisi kuanza kuvuna matunda ya kazi yao ila kutokana na ushirkiano wao na wachina sasa wamepiga hatua. Bwana Shafii kutoka Tanzania... Anaeleza ni kwanini aliamua kuja hapa nchini China kujiendeleza na masomo yako, Lengo lake lilikuwa ni nini hasa?

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako