• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Huduma mpya ya Taxi

    (GMT+08:00) 2015-07-23 21:10:34

    Kwa wasikilizaji wetu mtakaokuwa mnafuatulia habari, huenda mtakuwa mmesikia huduma ya Taxi ya Uber, iliyoanzishwa na kampuni ya Uber ya California Marekani, ambayo kwa sasa imeenea kwenye nchi zaidi ya 50 duniani. Huduma hii inamfanya mteja yoyote mwenye simu ya mkononi aina ya smartphone, kutumia application maalumu kwenye simu ya mkononi kuita taxi na kuelekeza muda na mahali pa kumfuata. Baada ya kufikishwa anakokwenda mteja analipia kwa kutumia application hiyo hiyo aliyotumia kuita Taxi, naweza kusema ulipaji wake kwa kiasi fulani unafanana na wa M-Pesa.

    Katika kipindi hiki, tutazungumzia huduma hii inaendeshwa vipi hapa China na sehemu nyingine Beijing na watu wana maoni gani kuhusu huduma hii.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako