• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Beijing yashinda nafasi ya kuandaa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022

    (GMT+08:00) 2015-07-31 18:41:07

    Beijing imeshinda nafasi ya kuandaa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022, na kuwa mji wa kwanza unaoandaa kwa pamoja Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto nay a Majira ya Baridi.

    Beijing ilifanikiwa kuandaa Michezo ya 29 ya Olimpiki ya Majira ya Joto mwaka 2008, na safari hii ikishirikiana na mji wa Zhangjiakou kutoa ombi la kuandaa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Bairidi, imeahidi kuandaa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayotilia maanani nafasi ya wachezaji, maendeleo endelevu na yenye matumizi madogo, na bajeti ya maandalizi yake itakuwa ni dola za kimarekani bilioni 1.5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako