• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni kubwa ya bia Afrika MAshariki yapata faida ya Shilingi bilioni 9.6

    (GMT+08:00) 2015-07-31 19:05:06

    Kampuni kubwa ya bia Afrika mashariki EABL imetangaza ongezeko la faida la asilimia 40 mwishoni mwa mwezi juni hadi shilingi bilioni 9.6. Kampuni hiyo imesema ongezeko hilo limetokana na kuongezeka kwa mauzo ya mvinyo. Kufuatia matokeo hayo bodi ya kampuni hiyo imependekeza mgao wa asilimia 6 kwa wenye hisa wa kampuni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako