• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ashukuru uaminifu na uungaji mkono wa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa

    (GMT+08:00) 2015-07-31 19:11:24

    Rais Xi Jinping wa China kwa niaba ya serikali na wananchi wake amemtumia barua ya shukrani mwenyekiti wa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa Thomas Bach kwa uaminifu na uungaji mkono wa Kamati hiyo kufuatia mji mkuu wa China, Beijing kushinda nafasi ya kuandaa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022.

    Ameahidi kuwa nchi yake itatimiza ahadi zote na kutoa mchango mpya kwa ajili ya maendeleo ya michezo ya majira ya baridi ya Olimpiki na uenezi wa moyo wa Olimpiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako