• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuunga mkono kikamilifu Beijing kuandaa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022

    (GMT+08:00) 2015-07-31 20:43:28

    Naibu waziri mkuu wa China Liu Yandong amesema serikali ya China itaiunga mkono kikamilifu Beijing katika maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022 na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi,

    Akitoa maelezo rasmi mbele ya Kikao cha 128 cha Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa, Liu ameahidi kuwa serikali itaunga mkono sekta mbalimbali ikiwemo fedha, sheria, matibabu, ulinzi, ushirikishaji na uendeshaji ili kuhakikisha kuwa michezo hiyo inafanikiwa. Amesisitiza kuwa China ina siasa tulivu, uchumi mzuri, na jamii yenye masikilizano, na ikiwa nchi inayowajibika, itatimiza ahadi zake zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako