• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chakula cha ulaji

    (GMT+08:00) 2015-08-06 19:43:47

    China ni moja ya nchi zinazotajwa kuwa na utamaduni wa muda mrefu wa vyakula, na ina vyakula vingi sana, lakini kwa muda mrefu wachina wamekuwa wakitajwa kuwa ni watu wenye miili mizuri, kwa maana ya kuwa si wanene na si wembamba, na wana desturi nzuri za kula. Lakini katika miaka ya hivi karibuni kumeanza kuwa na matatizo. Leo katika kipindi hiki tutazungumzia mienendo mibaya ya kula na madhara yake kwa afya zetu.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako