• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahojiano na Mwenyekiti wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba

    (GMT+08:00) 2015-08-07 16:03:08


     

    Tamasha la 18 la filamu la kimataifa la Zanzibar ZIFF limefanyika hivi karibuni huko Zanzibar, Tanzania. ZIFF ni tamasha kubwa zaidi la filamu, muziki na sanaa katika Afrika Mashariki, na linashirikisha wasanii wapya kutoka nchi mbalimbali duniani. Katika kipindi cha leo, tumepata fursa ya kufanya mahojiano na mwenyekiti wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako