• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Picha za Zhengzhou

    Ardhi oevu ya mto Huanghe mjini Zhengzhou ni moja ya njia nane za uhamiaji wa ndege duniani.

    Njiwa wakiruka kwenye uwanja wa Lvcheng, ambao ni alama ya amani na neema kwa wakazi wa huko

    Wilaya ya Zhongyuan wakati wa usiku

    Hewa safi imeongezea zaidi mvuto wa mji huu. Picha hii imepigwa katika mtaa wa makazi ya Dihu, wilayani Zhongyuan.

    Jumba la makumbusho la mji wa Zhengzhou likionyesha utamaduni wa miaka maelfu kadhaa katika uwanda wa kati wa China.

    Kampuni ya kutengeneza mashine zinazotumika kwenye uchimbaji wa makaa ya mawe ya Zhengzhou ZMJ ilitengeneza mashine ya kwanza ya hydraulic support nchini China, bidhaa zake zinatumika katika kampuni za kuchimba madini kote nchini China, na pia zinauzwa Russia, India na Uturuki
    More>>
    Safari mjini Zhengzhou






    Habari
    v Uzinduzi wa Wiki ya Zhengzhou wafanyika Nairobi

    Ujumbe kutoka mji wa Zhengzhou nchini China umeandaa maonyesho ya wiki moja ya matangazo ya redio na maonyesho ya picha za mji huo mjini Nairobi.

    Maonyesho hayo ya wiki moja yalizinduliwa jana jioni katika hoteli ya Safari Park kwa ushirikiano wa serikali ya mji wa Zhengzhou,ubalozi wa China nchini Kenya na Idhaa ya Kiswahili ya Redio China Kimataifa,kwa ajili ya kuwajulisha wakenya kuhusu historia na utamaduni wa mji wa Zhengzhou,ambao ndio chimbuko la Kungfu ya Shaolin.

    v Uzinduzi wa wiki ya matangazo ya redio na maonyesho ya picha za mji wa Zhengzhou

    Ujumbe kutoka mji wa Zhengzhou nchini China umeandaa maonyesho ya wiki moja ya matangazo ya redio na maonyesho ya picha za mji huo mjini Nairobi.

    Maonyesho hayo ya wiki moja yalizinduliwa jana jioni katika hoteli ya Safari Park kwa ushirikiano wa serikali ya mji wa Zhengzhou,ubalozi wa China nchini Kenya na Idhaa ya Kiswahili ya Redio China Kimataifa,kwa ajili ya kuwajulisha wakenya kuhusu historia na utamaduni wa mji wa Zhengzhou,ambao ndio chimbuko la Kungfu ya Shaolin.

    v Athari za usasa leo zaua Oprah ya Henan
    Mkoani Henan katikati mwa China, sanaa ya Oprah ilikuwa maarufu sana aghalau hadi miaka ya 90.
    v Mipango Henan ya kushiriki Ukanda mmoja na njia moja
    Mkoa wa Henan ulioko katikati mwa China uko mbioni kuanzisha miradi ya miundo mbinu ili kuunganisha mipango yao na mvumo wa taifa wa ukanda mmoja na njia moja ulioanzishwa mwaka jana na Rais Xi Jingping wa China.
    More>>
    Maelezo
    Safari ya treni ya mizigo kati ya Zhengzhou na Ulaya
    Si jambo geni kwa China na Ulaya kuzindua treni ya mizigo ya moja kwa moja. Safari ya treni ya mizigo kati ya Zhengzhou na Ulaya si ya kwanza katika historia ya China, lakini baada ya kuzinduliwa kwake, imeonesha mwelekeo mzuri wa maendeleo.
    Mji unaostawi kutokana na ujenzi wa reli
    Wahenga husema "treni ikinguruma, dhahabu inakuja". Msemo huo unazungumzia umuhimu wa sekta ya uchukuzi katika kuhimiza maendeleo ya uchumi.
    Mji unaojitokeza kwa viwanda na biashara
    Zhengzhou, mji mkuu wa mkoa wa Henan, ulioko katikati ya China, kusini mwa mto Manjano na mashariki mwa mlima Songshan, inapakana na miji mikongwe ya Kaifeng na Luoyang.
    More>>