• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umuhimu wa michezo katika jamii ya China

    (GMT+08:00) 2015-08-27 18:22:57

    Wakati mashindano ya kimataifa ya michezo ya riadha IAAF yanaendelea kufanyika hapa Beijing, kumekuwa na hali ya kutofurahisha kwa wachina, kwa kuwa tangu mwanariadha Liu Xiang atikise ulimwengu wa mbio fupi, bado hajatokea mwanariadha mwingine mchina aliyeweza kutwaa medali ya dhahabu kwenye mbio fupi na hata mbio ndefu. Japokuwa wanamichezo wa China wameonesha uhodari kwenye michezo mingine, kutong'ara kwenye mbio kunawafanya baadhi ya wachina wasiwe na furaha.

    Leo katika kipindi hiki tunaangalia jinsi wachina wanavyoiangalia hali hiyo na jinsi wanavyoichukulia michezo na umhimu wake kwa jamii na taifa.


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako