• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wafafanua historia ya vita ya China dhidi ya uvamizi wa Japan

    (GMT+08:00) 2015-08-29 19:25:40

     

    Mkutano wa pili na waandishi wa habari kuhusu shughuli za maadhimisho ya ushindi wa vita ya China dhidi ya uvamizi wa Japan umefanyika leo asubuhi ambapo wataalamu wa historia ya kijeshi wa China wamefafanua historia ya vita hiyo.

    Wataalamu hao wanaona kuwa katika vita dhidi ya ufashisti duniani, China ilitangulia kuanzisha vita dhidi ya ufashisti, kuunga mkono nchi washirika kwa vifaa, kifedha na nguvu kazi, na kufanya umuhimu mkubwa katika kuangamiza ufashisti. Wamesema Chama cha kikomunisti cha China na jeshi lake siku zote ziko katika mstari wa mbele wa mapambano dhidi ya uvamizi wa Japan, ni nguzo ya vita hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako