• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujenzi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wazinduliwa

    (GMT+08:00) 2015-08-30 20:14:55

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda jana ameishikuru China kwa kuiunga mkono katika ujenzi wa miundo mbinu nchini humo.

    Rais Museveni amesema hayo katika uzinduzi wa ujenzi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe. Amesema, ustawi wa Afrika unahitaji miundombinu bora, na kupanua uwanja wa ndege wa Entebbe kutasaidia kuboresha miundombinu ya Uganda na kuharakisha maendeleo ya uchumi na jamii nchini humo.

    Mradi huo umepata mkopo wenye riba nafuu kutoka benki ya Export-Import ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako