• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kusaini mkataba unaopinga majaribio ya nyuklia

    (GMT+08:00) 2015-08-30 20:16:46

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito kwa nchi mbalimbali kuridhia na kusaini Mkataba wa Pande zote wa kuzuia majaribio ya Nyuklia.

    Ban ametoa wito huo katika ujumbe wake wa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Majaribio ya silaha za Nyuklia. Amesema magonjwa mbalimbali kama saratani, leukaemia, sumu katika maji, na mambo mengine kadhaa ni matokeo ya majaribio ya silaha za nyuklia, na kwamba njia bora ya kuwaenzi wahanga wa majaribio yaliyopita ni kuzuia majaribio mengine katika siku zijazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako