• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hukumu ya kifo yatekelezwa kwa wapiganaji 10 wa Boko Haram nchini Chad

    (GMT+08:00) 2015-08-31 09:55:26
    Wapiganaji 10 wa kundi la Boko Haram waliohukumiwa kifo kwa kosa la kuhusika na mashambulizi ya kujitoa mhanga yaliyotokea kati ya tarehe 15, Juni hadi tarehe 11, Julai mjini N'Djamena wameuawa nchini Chad.

    Mashambulizi hayo yalisababisha vifo vya watu 67 na wengine 182 kujeruhiwa. Wapiganaji hao pia walipatikana na hatia ya mauaji, umiliki wa silaha kinyume cha sheria, umiliki na uuzaji haramu wa dawa za kuchochea akili na uharibifu kwa kutumia vifaa vya kulipuka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako