• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo kutokana na milipuko mikubwa katika bandari ya Tianjin yafikia 150

    (GMT+08:00) 2015-08-31 10:57:03

    Jana ilikuwa siku ya 19 tangu kutokea kwa milipuko mikubwa katika bandari ya Tianjin. Hadi jana alasiri, idadi ya watu waliofariki katika milipuko hiyo iliongezeka hadi 150. Aidha, shule za msingi na za sekondari zaidi ya 300 katika sehemu ya Binhai zimefunguliwa leo kama ilivyopangwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako