• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nidhamu ya shuleni

    (GMT+08:00) 2015-09-17 18:17:59

    Wanafunzi wanapokuwa darasani hapa China, wanatakiwa kumsikiliza mwalimu. Kuna tofauti kidogo kati ya jinsi watoto kwenye nchi za Afrika wanavyofundishwa na jinsi wanavyofundishwa hapa China. Hapa China mara nyingi mwalimu anaongea mwanafunzi anasikiliza, hakuna nafasi ya kutosha kwa mwanafunzi kumkatisha mwalimu na kuuliza swali, japo mwalimu anaweza kuwauliza maswali wanafunzi. Vile vile kuna nidhamu nyingine ya shuleni, kwa undani zaidi hebu sikilize kipindi chetu.


     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako