• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbinu za ufundishaji za walimu wa China

    (GMT+08:00) 2015-09-24 15:03:53

    Kuna filamu moja iliyooneshwa na televisheni ya BBC iliyopewa jina "Je watoto wetu ni wakakamavu?". Filamu hiyo inaonesha walimu watano wachina waliokwenda kuwafundisha watoto 50 wa Uingereza kwa muda wa mwezi mmoja katika shule moja ya mji wa Hampshire. lengo lilikuwa ni kuangalia kama wanafunzi hao wako sawa na wenzao katika shule za Uingereza na kuangalia kama njia ya ufundishaji ya walimu wachina inaongeza uwezo wa wanafunzi kimasomo.

    Leo katika kipindi hiki tutaeleza tofauti zilizopo kati ya utoaji wa elimu hapa China na nchi za nje. Hebu sikilizeni.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako