• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matumizi ya nishati na treni za mizigo ni alama ya marekebisho ya kiuchumi nchini China

    (GMT+08:00) 2015-10-08 18:59:57

    Mkurugezi wa Idara ya Takwimu ya China Wang Baoan amesema, kupungua kwa matumizi ya nishati na matumizi ya treni za mizigo nchini China ni alama za maendeleo katika marekebisho ya kiuchumi, na sio ushahidi wa kuzorota kwa sekta ya viwanda.

    Katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la Renminribao la China, mkurugenzi huyo amesema, viashiria hivyo viwili vinaonyesha sekta bora ya huduma na muundo wenye ufanisi zaidi na unaosikilizana na mazingira. Amesema China inaboresha uchumi unaoongozwa na sekta ya kutoa huduma, na sio sekta zilizozoeleka kama vile uzalishaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako