• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani na China kuongeza ushirikiano wa kijeshi

    (GMT+08:00) 2015-10-09 10:33:18

    Mnadhimu mkuu wa jeshi la China Fang Fenghui amekutana na naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw Tony Blinken mjini Beijing na kuahidi kwa pamoja kuwa watasukuma mbele ushirikiano mpya wa kijeshi kati ya nchi hizo mbili. Ili kuwa na msingi imara wa ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, Bw Fang alitoa wito wa kutafuta mwelekeo wa pamoja, kutatua tofauti zao na kuelewa maslahi na malengo ya kila upande.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako