• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati ya pande nne ya amani nchini Tunisia yashinda tuzo ya amani ya Nobel ya mwaka 2015

    (GMT+08:00) 2015-10-09 18:52:04

    Kamati ya tuzo za Nobel imetangaza kuwa, tume ya pande nne ya amani nchini Tunisia imepata tuzo ya amani ya Nobel ya mwaka 2015 kutokana na mchango wake mkubwa katika ujenzi wa demokrasia nchini Tunisia.

    Tume hiyo iliyoundwa mwaka 2013, ilianzisha mchakato mbadala wa kisiasa wakati Tunisia ilipokabiliwa na tishio la kuanza kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe.

    Mwenyekiti wa kamati ya tuzo za Nobel Kaci Kullmann Fice amesema, tume hiyo ilikuwa na nafasi kubwa katika kuiwezesha Tunisia, ndani ya miaka michache, kuazisha serikali inayofuata utaratibu wa kikatiba katika kuhakikisha haki za msingi kwa watu wote, bila kujali jinsia, ushabiki wa kisiasa, au dini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako