• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yakabiliwa na changamoto ya ongezeko la idadi ya wazee

    (GMT+08:00) 2015-10-26 18:02:35

    China ni nchi ambayo inakabiliwa na mabadiliko katika muundo wa idadi ya watu, kutokana na utekelezaji wa sera ya mtoto mmoja. Kuinuka kwa kiwango cha maisha na kuboreka kwa huduma za afya, wachina kwa sasa wanaishi kwa muda mrefu, hali ambayo imefanya idadi ya wazee iongezeke. Lakini ongezeko la idadi ya wazee limeleta changamoto nyingine, nayo ni namna ya kuwatunze wazee. Leo katika kipindi hiki tunaangalia jinsi wachina wanavyokabiliana na changamoto hii.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako