• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonyesho ya vifaa vya viwanda vya utenegezaji ya China na Afrika kufanyika Johannesburg

    (GMT+08:00) 2015-11-26 17:00:01

    Mkutano wa kilele wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika utafanyika mwezi ujao huko Johannesburg, ambapo wizara ya biashara ya China itafanya mkutano wa wajasirimali wa China na Afrika na maonyesho ya vifaa vya viwanda vya utengenezaji.

    Naibu waziri wa biashara wa China Bw. Qian Keming amesema, China inashirikiana na nchi za nje katika uzalishaji viwandani, huku Afrika ikijitahidi kuhimiza ujenzi wa sekta ya viwanda, hali ambayo inaonesha China na Afrika ziko kwenye vipindi vya maendeleo vinavyofuatana, na kwa hiyo kuleta mustakbali mzuri kwa ushirikiano wa viwanda kati ya pande hizo mbili.

    Hii ni mara ya kwanza kwa vifaa vya China vyenye sifa bora kuonyeshwa kwa pamoja barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako