• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yaimarisha usalama wakati wa tamasha la utamaduni la Lamu

    (GMT+08:00) 2015-11-27 10:01:11

    Kamishna wa kaunti ya Lamu ya Kenya Bw. Fredrick Ndambuki amesema usalama umeimarishwa katika mji huo ili kuwalinda raia wa Kenya na watu wa nje wanaoshiriki katika tamasha la utamaduni la Lamu, likikusudia kutangza utamaduni wa Kiswahili na kuhuisha sekta ya utalii ya Kenya inayokabiliwa na wakati mgumu kufuatia changamoto za usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako