• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Algeria yawahimiza wapalestina kuunda serikali ya umoja wa kitaifa

    (GMT+08:00) 2015-11-27 10:02:16

    Waziri wa mambo ya nje wa Algeria Ramtane Lamamra amesema Algeria inawahimiza wapalestina kuharakisha mchakato wa kufikia maelewano ili kuunda serikali ya umoja wa kitaifa yenye nguvu na jumuishi, jambo ambalo litasaidia kutimiza lengo la ukombozi wa Palestina. Amesisitiza kuwa Algeria inaunga mkono haki halali ya wapalestina ya kurejesha ardhi yao na kuanzisha nchi huru yenye mipaka iliyowekwa mwaka 1967 ambayo mji mkuu wake ni Jerusalem mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako