• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IAEA haitatoa jibu la "ndio au hapana" kuhusu mpango unaoshukiwa wa utengenezaji wa silaha za nyuklia wa Iran

    (GMT+08:00) 2015-11-27 10:03:08

    Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki IAEA limesema halitatoa jibu kuhusu kama mpango unaoshukiwa wa utengenezaji wa silaha za nyuklia wa Iran uliotajwa katika ripoti ya awali ya Umoja wa Mataifa ni kweli au la. IAEA inatarajiwa kutoa tathmini yake ya mwisho kuhusu mpango wenye utata wa nyuklia wa Iran wiki ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako