• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 26 wafariki katika tetemeko lililotokea kisiwani Taiwan

    (GMT+08:00) 2016-02-07 19:21:59
    Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi lililotokea kusini mwa mkoa wa Taiwan wa China imefikia 26, wakiwemo watoto sita.

    Waokoaji wanafanya juhudi kuwaokoa zaidi ya watu 120 waliokwama kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka.

    Tetemeko hilo lenye nguvu ya 6.7 na kina cha kilomita 15 chini ya ardhi lilitokea jana alfajiri kiswani Taiwan na kusababisha kujeruhiwa kwa zaidi ya watu 460.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako