• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • OECD yasema hakuna manufaa kwa Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2016-04-28 09:21:21

    Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo OECD limesema Uingereza ina nguvu ikiwa sehemu ya Ulaya, na Ulaya ina nguvu zaidi ikiwa na Uingereza, kwa hiyo hakuna manufaa kwa Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya. Shirika hilo limesema Uingereza itaathirika kwa miaka mingi kama itajitoa kutoka kwenye Umoja huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako