• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya mambo ya nje ya Sudan yatoa taarifa kuhusu suala la bahari ya kusini ya China

    (GMT+08:00) 2016-04-28 20:50:49

    Wizara ya mambo ya nje ya Sudan leo imetoa taarifa rasmi kuhusu suala la bahari ya kusini ya China, ikitoa wito kwa nchi zote husika kutatua migogoro kuhusu mamlaka ya ardhi na bahari kwa njia ya amani kwa kupitia mazungumzo ya kirafiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako