• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNEP yasema Beijing imepata maendeleo makubwa katika kuinua kiwango cha ubora wa hewa

    (GMT+08:00) 2016-05-25 09:36:42

    Shirika la Mpango wa Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP limesema Beijing imepata maendeleo makubwa katika kuinua kiwango cha ubora wa hewa, katika kipindi cha kuanzia mwaka 1998 hadi 2013. UNEP imesema katika ripoti yake iliyotolewa mjini Nairobi kuwa, Beijing imedumisha maendeleo ya kasi ya mji huku ikifanikiwa kuinua kiwango cha ubora wa hewa, uzoefu ambao unastahili kujadiliwa na makundi mengine yanayoendelea ya kiuchumi na miji mipya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako