• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbeya City ya Tanzania kwenda Kujinoa Malawi

    (GMT+08:00) 2016-06-02 10:00:26
    Timu ya Mbeya City ya Tanzania inatarajiwa kufanya ziara ya michezo ya kirafiki nchini Malawi katikati ya mwezi huu. Mbeya City imepaga kucheza michezo mitatu Uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre kuanzia Juni 18 dhidi ya vigogo wa soka nchini humo, 'Big Bullets', wakati Juni 21 itamenyana na 'Civo United'. Mechi nyingine Mbeya City wataijua baada ya kufika nchini humo na kocha Mmalawi, Kinnah Phiri anataka kuitumia ziara hiyo kuanza maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako