• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lassana Diarra nje michuano ya Euro

    (GMT+08:00) 2016-06-02 10:00:51
    kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Olympic Marseille Lassana Diarra ameondolewa kwenye timu ya taifa kutokana na kupata majeraha ya goti la kushoto, hivyo atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa wiki tatu, nafasi ya Diarra itachukuliwa na Morgan Schneiderlin wa Man United , Diarra anakuwa mchezaji mwingine wa Ufaransa kuondolewa kikosini baada ya Raphael Varane naye awali kuondolewa kwa kupata majeraha ya mguu. Diarra ni miongoni mwa wachezaji waliowahi kuichezea Real Madrid ya Hispania kwa mafanikio, uwezo wake na kukosekana kwake linakuwa pigo kubwa kwa kocha wa Ufaransa Didier Deschamps. Ufaransa wapo Kundi A na wataanza kufungua michuano hiyo katika ardhi yao kwa kucheza na Romania June 10 2016.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako