• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Mei - 3 Juni)

    (GMT+08:00) 2016-06-03 16:36:30

    Rais wa Burundi awapa waasi makataa ya wiki mbili kujisalimisha.

    Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amewapatia waasi makataa ya wiki mbili kujisalimisha akisema iwapo hawatasalimu amri atakabiliana nao kwa nguvu.

    Rais Nkurunziza alitoa matamshi hayo wakati wa ziara yake katika mji wa Mugamba kilomita 80 kusini mwa mji wa Bujumbura ambao umetajwa kuwa na makundi mengi ya waasi.

    Ameonya kuwa vikosi vya usalama vitatumia mbinu kama ]zilizoangamiza maandamano dhidi ya serikali mwaka 2010 ambayo mashirika ya kibinaadamu yanasema yalihusisha unyanyasaji mkubwa.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako