• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Mei - 3 Juni)

    (GMT+08:00) 2016-06-03 16:36:30

    Walioshambulia ndege ya Somalia wahukumiwa maisha

    Mahakama ya kijeshi ya Somalia imewahukumu watu wawili kifungo cha maisha wiki hii kutokana na makosa ya kupanga shambulizi la mabomu kwenye ndege hii ya Somalia mwezi Februari.

    Mlipuko ulitokea dakika 15 baada ya ndege aina ya A321 ya shirika la ndege la Daallo kuruka, na kutoboa shimbo kando ya ndege hiyo. Rubani alifanikiwa kurudi na kutua kwenye uwanja wa ndege wa Mogadishu. Abiria mmoja anayedhaniwa kuwa mshambulizi aliuawa na wengine waili walijeruhiwa. Kundi la Al-Shabaab lilitangaza kuhusika na tukio hilo.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako